Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO 140k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO EXTERNAL MAKUBURI
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 Tu Kutoka Barabarani
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO LAKE NDANI
Apartment zipo ndani ya Eneo Moja Fensi na Maji DAWASA yanaflow ndani, UMEME LUKU SUB METER
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞_𝙣𝙞 Tsh. 140,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp