Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kivule, Dar Es Salaam







👉BEI IMEPUNGUA KWA SASA NI 55 TU. BEI YA ZAMANI 63
Nyumba inauzwa kivule Sokoni wilaya ya Ilala Dar
📌BEI MILION 55 TU (usiogope)
Vyumba vya kulala jumla ni v4
👉NYUMBA kubwa ni v3 kimoja masta
Dining, siting, jiko na stoo
👉NYUMBA ndogo ni chumba kimoja na sebule
Tailiz jipsam umeme
Kuna kisima kirefu cha maji safi
Eneo sqm 430 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Nyaraka za serikali ya mtaa
Gari moja tu hadi mjini
whatsap au piga CALL 0683491594,0716974073



















