Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Stand alone Inapangishwa:
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 700,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vinne(viwili Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye linawekwamakabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Fence
🌡Gharama ya kuona nyumba ni tsh 20,000/=
Call/Whatsapp; 0782 724 115