Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







STANDALONE INAPANGISHWA
Location :: GOBA CENTRE
Bei yake :: 1,200,000 kwa mwezi
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vinne (vitatu ni Masta)
🌡️sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
0745559598