Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


STANDALONE INAPANGISHWA;
š§Location :: GOBA NJIA NNE
š§Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
šVyumba Vinne ( kimoja Masta)
šSebule kubwa
šChoo cha Public
šJiko
šFence
Jiko ndani na la nje
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782428327
Call /Whatsapp less



















