Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kati, Arusha
500K ๐ฅ 500K ๐ฅ 500K
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI POA KABISA 500,000/= X 6
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CAR PARKING
#CCTV CAMERA
#GARDEN
#PAVING
#PIA KUNA SERVANT CORTER YA CHUMBA KIMOJA NA JIKO LA NJE
BEI NI 500,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐คNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.