Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE IPO KIBAMBA SHULE
Vyumba 4 vya kulala viwili master bedrooms sebule kubwa dinning jiko na public toilet
Kodi 350,000 kwa mwezi × 6
Fence inajengwa
Umbali km 2 lami hadi nyumbani
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
O679447338
O753454167