Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE_HOUSE_FOR_RENT AT KIMARA TEMBONI
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko dinning na public toilet
Pia kuna servant corter ya vyumba 2 na Choo
Kodi 800,000 Kwa mwezi ร 6
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
Ndani ya fence parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0710614924
#0688653940