Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🗯️Inapangishwa STAND ALONE (Nyumba inayojitegemea yenyewe kwenye Fensi)
📍 KIMARA TEMBONI
📍 Kodi 600,000 X6
_____
_____
• Vyumba 4 vya kulala (kati ya hivyo vyumba 2 ni master)
• Sebule
• Dinning
• Jiko Zuri
• Choo cha Familia
📌 Kuna SERVANT QUARTER ya Chumba na Jiko la Nje
* Inajitegemea Yenyewe kwenye fensi
* Garden
* Parking Kubwa sana
* Mazingira mazuri mno
#Umbali wa KM 2 Usafiri wa bajaji upo nauli 700/=
📌 Inakuwa wazi Tarehe 25/07/2024, kuona na kulipia ruksa
_______
📌 *MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 600,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
№:- 0753172516