Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU
--------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
-----------
Contact
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030