Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA YA WAYA NA GETI LAKE ZURI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#GARAGE
#PARKING KUBWA
#KAMA MFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA SANA
BEI NI 500,000/= X 6
🇹🇿🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUBWA YA MABASI YAENDAYO MKOANI (MAGUFULI BUS TERMINAL) NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347