Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
FAMILY HOUSE FOR RENTS
NYUMBA NZURII SANA KUBWA NA YENYE NAFASI NNJE MPAKA NDANI.
MUUNDO WAKE (NYUMBA KUBWA)
ROOM 4-2 MASTER BEDROOM (MBILI ZA KAWAIDA)
SEBLE
DINING
JIKO NA STOO
PUBLICTOILET
HUDUMA ZOTE ZIPO
maji & umeme inajitegemea
Electical Fens wire
Heater ya maji moto ndan kote.
Paving Blocks uwanja wote
Tank la maji
Miti ya matunda
Carpaking yenye Sheld
Jilan sana na barabara ya lami.
MUUNDO WA NYUMBA NDOGO
CHUMBA MASTER
SEBLE NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
KOD KWA NYUMBA ZOTE 2 NI TSH MILLION 1 MWEZI MALIPO NI MIEZ 6 NAKUENDELEA
Mawasiliano zaid
Call —— WatsApp 0718436694
KARIBU UISHI KIBOSS AU UWEKE OFISI…..🙏🏾🙏🏾🙏🏾
SITE VISIT N EFL 10,000/=
Malipo ya kazi kod mwezi mmoja.