Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi, nyumba ina rooms 4 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, public toilet, room moja ni master bedroom, tiliz, madilisha vioo, fensi ya parking ipo na eneo lake la nje kubwa sana, ni stand alone house. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.