Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mwera, Tanga


NYUMBA INAPANGISHWA MWERA (BAADHI YA MAREKEBISHO YATAFANYIKA)
#unguja #zanzibar
Vyumba 4 (Master 3) Ukumbi, Jiko, Public Toilet, Dining Room
Fensi
Maji
Bei Tsh 350,000/= Laki Tatu na elfu hamsini kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduhufamaskini
#kimfaachomtuchake