Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bagamoyo, Mbeya


NYUMBA YA KISASA YENYE HATI,TSHS.180 MILIONI, KIHARAKA/MINGOI.
Ipo umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Ni baada ya Daraja la Bunju B ukielekea Bagamoyo.
Kiwanja SQM.800
Vyumba 4(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Mtaa tulivu na uliojengeka vizuri.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________jKG
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.