Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA GOBA KULANGWA - (MILLION 700)
Ina Vyumba Vinne (4) Kati Ya Hivyo Viwil Ni Self Contained
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo : SQM 1,000
Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 700 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=