Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam


NYUMBA NA ENEO LAKE ZINAUZWA GONGO LA MBOTO karibu na kituo cha SGR Pugu station
Ndani kuna nyumba 4 kubwa
Na ndogo zipo 2. Pamoja na vyumba mbalimbali vya wapangaji.
1. Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
2. Vyumba 3 vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
3. Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
4. Master bedroom sebule na stoo
Alafu kuna parking pamoja na Mabanda ya mifugo
Pia kuna bicons kuzunguka eneo lote
Na lote limezungushiwa fence.
Bei ni Tzs 450 Milion
Umbali kutoka barabarani mpaka nyumba ilipo ni mwendo wa dakika 7 kwa gari au pikipiki. Ni sawa na 3.5km kutoka barabara kuu ya rami.
Eneo lote lina ukubwa wa Square meter 4,664
0677370515
Kupelekwa kuona viwanja 30,000/=