Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kiluvya, Pwani





NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
==
Juu Pana vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa jiko na public toilet
Na underground kuna vyumba 2 vyote master bedrooms
====
Bei 59 Million
====
Sales agreement kutoka serikal za mitaa
====
Umbali KM 2 usafiri Bodaboda 1000 na Bajaji zipo
===
Nyumba ina maji na umeme tayari
===
Nyumba inahitaji Tu finishings
===
Ukubwa wa ENEO SQM 600
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25,000/=
===
Contacts
0746 433 854