Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kiluvya, Pwani


NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
Juu Pana vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa jiko na public toilet
Na underground kuna vyumba 2 vyote master bedrooms
Bei 85 Million #Maongezi_yapo
Nyumba ina hati miliki CLEAR TITLE DEED)
Umbali KM 1.7 usafi Bodaboda 1000 na Bajaji zipo
Nyumba ina maji na umeme tayari
Nyumba inahitaji Tu finishings
Ukubwa wa ENEO SQM 1200
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25,000/=
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37