Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA I N A U Z W A TZS 280 MILIONI
LOCATION KIMARA SUKA DAR ES SALAAM TZ
✓ VYUMBA 4 VYA KULALA 3 KATI YAKE NI MASTER
✓ SEBULE 2
✓ DINING
✓ JIKO
✓ PUBLIC
✓ LUKU
✓ MAJI
✓ GARDEN
✓ PARKING YA KUTOSHA
✓ FENCE
UKUBWA WA ENEO SQM 1,167
DOCUMENT HATI MILIKI YA WIZARA YA ARIDHI
UMBALI KUTOKA LAMI KM 2
BEI TZS 280 MILIONI MAONGEZI YAPO
NIPIGIE 0784156583/ 0627885467
WHATSAPP
0656011897
KUPELEKWA KUONYESHWA 30,000/