Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


JUMBA KUBWA SANA LINALO JITEGEMEA LENYEWE KWENYE FENSI YA WAYA LINA PANGISHWA
SEHEMU: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
KODI 350,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER INA MAKABATI YA NGUO
VYOO VYA FAMILIA VIWILI VYA NDANI
SEBULE KUBWA SANA NA DINNING
JIKO KUBWA LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
STORE KUBWA
PIA INA ENEO KUBWA SANA KWA WAFUGAJI AU WALIMAJI
MAFUNDI WANAPIGA RANGI NYUMBA YOTE PAMOJA NA MAREKEBISHO MENGINE YOTE HUSUSANI MIFUMO YA MAJI NA KILA KITU
KILA CHUMBA KINA MAFENI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS WALA DM UTACHELEWA KUJIBIWA
###0655256419