Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mawasiliano, Morogoro
Nyumba inauzwa
Bei Million 70 Maongezi
iko chalinze mkono wa kulia kama unaenda Moshi ni ya pili kutoka barabara kuu ina ukubwa wa sqm 1800 na ina room 4 sebule jiko na dining na sevantcoter mbili nyuma mashimo ya choo tayari fance tayari, plaster nje na ndani tayari frem za milango na magrill tayari blandaring tayari imepauliwa na kigae cha nabaki
Karibuni Sana kwa mawasiliano tuwasiliane kwa namba 0718809744 / 0784234971