Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 33 tu mwenyewe ana shida sana kavulugwa ana itupa tu kwa bei nafuu sana tsh million 33 tu
Nyumba ipo mbagala chamaz magengeni Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Ukubwa wa eneo square miter 350
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vinne vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa ipo jilani kabisa na bara bara kuu ya lami
0652618143. 0759203175