Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 4 vya Kulala master stingiroom nyumba umeme upo maji yapo Nyumba ina hati ya serekari ya mtaa ukubwa sqm 400 Nyumba mpya Nyumba ina kisima cha maji Nyumba aipo na kituo cha daladala Nyumba bei ml 65 #068491594 #0716974073