Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA MZURI SANAA NA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI SANA INAUZWA
NYUMBA IPO MBEZI KULIA KAMA UNAELEKEA KIBAHA
NYUMBA AIPO MBALI NA MAGUFULI STEND KM/ 1 TU, KUFIKA ( BARABARA YA MTAA KONOIKE ROAD KITUO KONTENA UKISHUKA DK ZIRO)
MUUNDO WAKE
KIWANJA KINAUKUBWA 20 KWA 40
NYUMBA INAVYUMBA 4 VYAKULALA KATIYAIVYO 2 NI MASTAR JNAPABLICK TOILET INA SEBULE KUBWA INADINING INA JIKO KUBWA
UKUTA MZURI SANA PEVING BLOCK MZURI SANA NYUMBA IMEJENGWA KWAUBORA MKUBWA SANA
PIA INAHATI YAMAKAZI NA BIASHARA
BEI 160/ MILIONI MAONGEZI KIDOGO YAPO
KUIONA NYUMBA 30
CALL
0712656027