Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam





NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA
πIPO Mbezi Beach - Kilongawima*
Nyumba inagusa lami ya Mbezi Beach ya chini kwa Mwamunyange
βοΈIna vyumba Sita vya kulala, vinne ni master bedrooms, study room, dining room, sitting room na public toilet.
βοΈServant Quarter 1* Ina one bedroom master na store.
βοΈServant Quarter 2* Ina vyumba v2 vya kulala, public toilet na sitting room.
-Swimming Pool
-Plot size Sqmtrs 1,231
-Document: Title Deed
π°Bei shilingi Bilioni 2 maongezi yapo
βοΈ0746 433 854