Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE
LOCATION MBEZI BEACH
Zipo nyumba mbili kila nyumba moja inajitegemea kwenye compound yake
Bei kila nyumba moja inavyumba vinne inauzwa milioni 750 tsh (milioni miasaba na hamsini tsh)
Ukitaka nyumba zote mbili bei ni bilioni 1.5 tsh (bilioni moja na milioni miatano tsh)