Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam
TSHS MIL 420,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- UBUNGO MSEWE
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 1800
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI SAFIII
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vinne vya kulala Vitatu ni Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public Ac Ac
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! ๐ค
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 420
maongezi kidogo
__
NYUMBA IMESHUKA BEI SANA
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;
dalalimbezibeachitz
#0786083082 WhatsApp