Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA YA UKUTA INAPANGISHWA BEI NI 800,000/= X 6 AU 1,000,000x3
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 (3 JUU na 2 chini) VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA PIA KUNA JIKO LA NJE ZURI
#PUBLIC TOILET
#STORE KUBWA
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#CAR PARKING
BEI NI 800,000/= X 6 AU 1,000,000 X3
MAONGEZI YAPO KIDOGO
💫💫 NYUMBA HII NZURI YA KISASA IPO MBEZI MWISHO UELEKEO WA MALAMBA, KITUO MAKUTI DK 3 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA