Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
STAY ALONE YAANI NYUMBA KUBWA SANA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
MBEZI MWISHO UELEKEO WA KINYEREZI..
KITUO MAKUTI
KODI..600,000X6 KAMILI ๐จ
#VYUMBA 5 VYA KULALA
โผ๏ธJUU VIPO VYUMBA V3 NA CHUMBA KIMOJA MASTER
โผ๏ธCHINI VYUMBA VIWILI NA PUBLIC TOILET
#DAINING TABLE
#STORE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#FULL TYLIES , GYPSUM NA ALUMINUM (SLAIDING WINDOW )
PAVING UWANJANI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#
#LOCATION .. MAKUTI
DK 4 KWA MIGUU KUTOKA STENDI YA DALADALA NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 YOTEE.โ๏ธ
#NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING YA GARI NNE NDOGO
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258