Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA YA KISASA INAUZWA GOBA TEGETA "A" - DAR ES SALAM
Ina Vyumba Vitano Vya Kulala Kati Ya Ivyo Vitatu Ni Self Contained
Pia Kuna Flemu Tano Za Biashara, Servant Quarter Na Mabanda Ya Mifungo
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 3000
Umbali: Kilometres Mbil Na Nusu Kutoka Madale Centre (Madale Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Imekamata Barabara Kuu Ya Mtaa
Bei : 220 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=