Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kati, Arusha


NYUMBA NZURI GHOROFA INAUZWA TEGETA MASAITE
Ina Vyumba Vitano Kati Ya Ivyo Vwil Ni Self Contained, Dinning, Sitting ,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 431
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 300 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=