Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


🇹🇿 NYUMBA INAUZWA MBAGALA MAJI MATITU BEI ML 155 MAONGEZ YAPO UZURI WAKE NYUMBA YETU INAHATI KAMIRI
YA WIZARA BEDROOM 5 MASTER 2 PUBLIC TOILET BAFU
🇹🇿 SITTING ROOM KITCHEN ROOM DINNING ROOM STORE
FREM MOJA YA DUKA IPO MITAA MIZURI UNAFIKIKA KIURAHISI
KWA MAHITAJI YA VIDEO ZA NDANI NJOO WHAT'S UP
🇹🇿