Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 110 TU
IPO MBAGALA CHAMAZ SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZ MTAA WA MKONDOGWA
ENEO SQUARE MITAR 600
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA VIPO VINNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM
INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE NA PUBLIC TOYLETY INA KISIMA CHAMAJI NA UMEME UPO WA LUKU
NACUKU UWANI KUNA BANDA LA UWANI LINA VYUMBA VITANO VYA KULALA
NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA IPO NDANI YA FENCE GARI NDOGO 3 ZINA INGIA NDANI
KALIBUNI SANA
0713486848
0754486848