Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Msongola, Dar Es Salaam


NYUMBA YAKUMALIZIA,VYUMBA 5,TSHS.30 MILIONI,MSONGOLA.
Hapa ni Gari moja tu kufika Mjini/Kariakoo.
Kila Chumba kina Choo chake cha ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 250.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Wahi Uikomboe Familia yako.
MAKAZI NDIO MPANGO MZIMA.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Kifupi unaweza KUIHIFADHI FAMILIA MOJAKWAMOJA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________msf


















