Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Saranga, Dar Es Salaam


GHOROFA YA KUMALIZIA, VYUMBA VITANO (5), TSHS.50 MILIONI SARANGA/TEMBONI.
Ni wastani wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
KIWANJA KIMEPIMWA.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ujenzi wa kisasa imara na wa kuvutia.
Kilichobaki ni umaliziaji tu.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________mpg
Mtaa umejengeka na Gari inafika vizuri.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.