Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Saranga, Dar Es Salaam






BANDA ZURI MNO LINAUZWA TEMBONI SARANGA KWA MAKOFIA####
NI NYUMBA YA PILI TU KUTOKA BARABARA INAYOPIGWA LAMI ZEGE*** GARI INAFIKA MBAKA MLANGONI###
NI CHUMBA SEBLE NA CHUMBA SINGLE ZIKO 2 NA VYUMBA VYOTE VINAWAPANGAJI**** UMEME NA MAJI YAPO##
UKUBWA WA KIWANJA 15×15**** BEI MILLION 14
MAONGEZI
SEVCHAGE 30000 KWENDA KUONA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347