Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani







NYUMBA YA GOROFA I N A U Z W A TZS 250 MILIONI
LOCATION VIKINDU JIMBO LA MKURANGA WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI TZ
INA VYUMBA 5
√ CHINI INA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
√ SEBULE
√ DINING
√ JIKO
√ PUBLIC TOILET
√ JUU VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
√ SEBULE
√ PUBLIC TOILET
UKUBWA WA ENEO SQM 1000
DOCUMENT HATI MILIKI YA WIZARA YA ARIDHI
BEI TZS 250 MILIONI
NIPIGIE 0784156583/0627885467/0656011897
WHATSAPP
0696662405
KUPELEKWA KUONYESHWA 30 OOO