Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
STAND ALONE FOR RENT,NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE( PESAPESA)
BAJAJI:1000
KODI YAKE:150000=KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅JIKO
✅CHOO CHA PUBLIC
✅MAJI DAWASCO
❌HAKUNA FENCE
CONTACT
0782428327