Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE GOBA ROAD 🛣️..
KITUO..KWA ROBATI 
UMBALI..DAKIKA 13 KUTEMBEA KUTOKA LAMI 
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
TILES 
GYPSUM 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=×3
‼️Ndugu mteja , nyumba hii itakuwa wazi tarehe 15/2/2025 
CONTACT me: 0672 673363



















