Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
STAND ALONE INAPANGISHWA
📍IPO goba njia ya Madale km 1 kutoka lami.
Ikumbukwe Nyumba hii inajitegemea kwanye fence.
#3BEDROOMS ONE MASTER INA KABAT LA NGUO
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#PUBLIC TOILET
#JIKO LENYE KABATI
#NDANI YA FENCE
#MAJI DAWASA24HRS MITA YAKO
#SOON CAR PAVIMENT SAFI
____________________________
BEI LAKI 500,000 YA TZ .
MALIPO YA MIEZI 6.
____________________
IPO DAR ES SALAAM TZ.
LOCATION _ GOBA MWELEKEO WA MADALE.
KUTOKA LAMI KM 1. BODA TSH 1000.
_____________________________________
NUMBER
#0688396025 #0688396025whatsp