Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa: Stand alone
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu (kimoja ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
0658637690
0692435048