Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI INAFAA KWA FAMILIA KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#CHOO KIZURI CHA FAMILIA
#TALAZO ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.