Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimanga, Dar Es Salaam







STAND ALONE YA KISASA
INAPANGISHWA KIMANGA MWISHO
Vyumba 3 kimoja masta
Sebule daining
jiko lenye makabati
Stoo
Public thoilet ndan
KODI 500,000
maji yanafroo ndan
lizevu tank
service charge yakuona nyumba 20,000
kalibu sana
kutoka stend dak 3
nyumba ipo ndan yafensi
ila chini hamna Peving
parking ipo
Muhitaji piga 0688 412 890.