Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimanga, Dar Es Salaam







Nyumba mpya inapangishwa Kimanga.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving anaweka
- Parking
- Fence
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688412890.