Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
#BEI NI 600,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET NDANI
#PARKING IPO
#BEI NI 600,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DKK 10 KWA MIGUU AU
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747