Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







BEBA PESA BANGALOO HILO HAPO WAPANGAJI 2 TU MKO MBALI MBALI KODI 400,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALAMWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#DAING TABLE
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI MITER YAKO
#MAJI DAWASA NDANI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343