Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
STAND ARONE INAPANGISHWA IPOKIMALA SUKA KODI NI 230,000X6
HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUKAA KWENYE NYUMBA NZURI TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO SAFI
NYUMBA IPO KIMARA SUKA
UMBALI WA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI NI KILOMITA MOJA NA NUSU
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA PEKEAKE INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME NA MAJI
BEI NI TSH 230,000 KWA MWEZI ILIPWE KODI YA MIEZI X6
SERVICE CHARGE 15
ILIPWE PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UFANYAPO MALIPO YA HII NYUMBA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU ILI KUEPUKA USUMBUFU NDUGU MTEJA HII NYUMBA GARI HARIFIKI KWENYE NYUMBA INAISHIA JIRANI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI