Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA 400K
Location :- Kimara Stop Over
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
CHOO CHA FAMILIA
KODI 400,000/=X6
NYUMBA NI YA KUINGIA HATA SASAIVI
KUNA YA JUU NA YA CHINI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
Luku yako
Meter ya Maji yako
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.