Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA HII INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
DARE-SALM. KUTOKA MOR ROAD MBAKA KWENYENYUMBA KM 1.5 IWAI USICHELEWE USAFIRI MWINGI BAJAJI 500 DARADARA ZA KALIAKOO ZIPO
UKISHUKA TU UNA PUSH GETI UNAINGIA NDANI
NYUMBA HII NI KUBWA YA KISASA BEI NI MILIONI MOJA NA LAKI 2
=BEI 1,200,000/-
=PESA YA TAAZARI MWEZI MMOJA
1,200,000/-
#INA VYUMBA 3 VYA KULALA VYOTE 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA NA CHUMBA KIMOJA SINGLE
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#AIR_CONDITION
#PARKING KUBWA JUU NA CHINI
#FULL AC
NYUMBA HII IPO TWO IN ONE
(B)PIA YA CHINI INA VYUMBA 2 VA KULALA VYOTE NI MASTER JIKO KUBWA LINA MAKABATI
BEI NI LAKI 8
BEI NI 800,000X6 PIA INA PESA YA TAAZARI MWEZI MMOJA NI LAKI 8
UKIIACHA NYUMBA IPO SALAMA UTARUDISHIWA PESA YAKO
SERVICE CHARGE 15000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
##0655256419